News and Resources Change View → Listing

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWENYE MAZISHI YA KITAIFA YA HAYATI SHINZO ABE, WAZIRI MKUU MSTAAFU WA JAPAN, TAREHE 27 SEPTEMBA 2022

Tarehe 27 Septemba 2022, Waziri Mkuu Majaliwa alimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye shughuli  ya mazishi ya kitaifa ya Hayati Shinzo Abe, Waziri Mkuu…

Read More

KAMPUNI YA JAPAN TOBACCO YAAHIDI KUNUNUA KILO MILIONI 30 ZA TUMBAKU TANZANIA

KAMPUNI ya Japan Tobacco Incorporation (JTI / JT Group) imeahidi kununua kilo milioni 30 za tumbaku kutoka kwa wakulima wa Tanzania katika msimu ujao wa kilimo.Ahadi hiyo imetolewa leo na Rais na Mtendaji Mkuu…

Read More

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMEKUTANA NA WAZIRI MKUU WA JAPAN, FUMIO KISHIDA NA KUWASILISHA SALAMU ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUFUATIA KIFO CHA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA JAPAN, HAYATI SHINZO ABE

Tarehe 26 Septemba 2022, WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida na kuwasilisha salamu za pole kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kifo cha Waziri Mkuu mstaafu…

Read More
Mhe. Balozi Baraka H. Luvanda kwenye picha na wawakilishi wa Taasisi za Utalii za Tanzania pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan yaliyofanyika Tokyo

KUHITIMISHWA KWA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA JAPAN (JAPAN TOURISM EXPO 2022) YALIYOFANYIKA TAREHE 22 - 25 SEPTEMBA 2022 TOKYO, JAPAN

Tanzania imeshiriki kwa mafanikio makubwa katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism EXPO 2022), yaliyoanza tarehe 22 Septemba 2022 na kuhitimishwa tarehe 25 Septemba 2022, Tokyo, Japan.…

Read More

TANZANIA YAZINDUA FILAMU YA “THE ROYAL TOUR” ILIYOTAFSIRIWA KIJAPAN WAKATI WA UFUNGUZI WA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA JAPAN 2022 (JAPAN TOURISM EXPO 2022)

Leo tarehe 22 Septemba 2022, Tanzania imezindua rasmi filamu ya The Royal Tour iliyotafsiriwa Kijapan wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan yajulikanayo kama Japan Tourism Expo.…

Read More

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA WILL PARTICIPATE IN THE “TOURISM EXPO JAPAN 2022” TO BE HELD ON 22ND - 25TH SEPTEMBER 2022 IN TOKYO

The United Republic of Tanzania will take part in this year's TOURISM EXPO JAPAN Edition which will run from 22nd September until 25 September 2022 at the Tokyo Big Sight in Tokyo, Japan. During the Expo,…

Read More

THE GOVERNMENT OF JAPAN ANNOUNCES PROGRAMS TO STUDY IN JAPAN THROUGH THE MINISTRY OF EDUCATION, CULTURE, SPORTS, SCIENCE AND TECHNOLOGY (MEXT) AND JICA AFRICAN BUSINESS EDUCATION INITIATIVE FY2023

Please open for information and application through the following links:Ministry of Education, Culture, Sports, Science and Technology (MEXT)2023 MEXT Scholarship -The University of Tokyo :…

Read More