Balozi Baraka Luvanda aungana na Mabalozi wa nchi zingine zenye uwakilishi nchini Japan katika Kumbukizi ya Miaka 78 ya Mlipuko wa Bomu la Nyukilia katika mji wa Hiroshima tarehe 06/08/2023
Tarehe 06/08/2023 Balozi Baraka Luvanda aliungana na Mabalozi wengine wapatao mia moja arobaini wanaoziwakilisha nchi zao nchini Japan katika kumbukizi ya miaka 78 tangu ulipotokea mlipuko wa Bomu la nyukilia…
Read More






