News and Events Change View → Listing

Tanzania ePassports, 2019

Tanzania Online Passport Application

Ubalozi wa Tanzania Tokyo unapenda kuwaarifu wote kuwa, Ubalozi umeanza kupokea maombi ya Pasipoti za kielektonik kuanzia tarehe 21/10/2019. Muombaji atatakiwa kujaza fomu ya maombi kupitia tovuti ya Uhamiaji…

Read More

Change of Office Hours

From Monday, 9th March 2020 until further notice, the office hours will be from 10:00 am to 4:00 pm, due to preventive measures against novel Coronavirus (COVID-19). Your kind understanding and cooperation on…

Read More

Warning to all visa applicants

The Embassy of the United Republic of Tanzania would like to issue a warning to all visa applicants that the following is a list of fake websites pretending to issue Tanzanian visas. - Official Tanzania eVisa…

Read More

31st International Jewellery Tokyo (IJT2020)

Mr. John F. Kambona, Charge d'Affaires ad interim of the Embassy, paid a visit to 31st International Jewellery Tokyo (IJT2020) and met the executives of AP Co., Ltd. who are intending to import…

Read More

WAZIRI MKUU MHE MAJALIWA AKUTANA NA KAMISHNA MKUU WA UNHCR

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  (Mb) Mhe. Kassim M. Majaliwa akiwa katika mzungumzo na Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) Bw Filippo Grandi. Mazungumzo hayo…

Read More

MHE. WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA TANZANIA LA MAONESHO YA TICAD 7

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana akiangalia mojawapo ya bidhaa nchini Japan alipotembelea banda la maonesho ya vivutio vya utalii wa Tanzania jijini…

Read More

WAZIRI WA MAMBO YA NJE, MHE. PROF. PALAMAGAMBA JOHN KABUDI AFANYA MAZUNGUMZO NA MEYA WA JIJI LA NAGAI NCHINI JAPAN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi ameishukuru Serikali ya Japan kwa kuishirikisha Tanzania kikamilifu kwenye maandalizi ya Michezo ya Olympic…

Read More

WAZIRI MKUU ASHIRIKI TICAD7- YOKOHOMA,JAPAN

Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb) akiwa kaaika Mkutano wa Kimataifa Tokyo kuhusu Maendeleo kwa Bara la Afrika. Kati ya waliohuidhuria pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na…

Read More